CHICKEN AND CHEESE SPAGHETTI

Chicken and cheese spaghetti

Mahitaji

Spaghetti  mfuko 1

kuku mmoja
Kitunguu thomu kiasi
Kitunguu maji 2
nyanya 2
hoho 1 kubwa
Carot 2
garam masala robo kijiko
Royco nusu kijiko
Cheese cream vijiko 2 vya kula
Chumvi kijiko 1
tangawizi kiasi
Ndimu 1

maandalizi
Mkate kuku.wako mtie thomu,tangawizi,chumvi,na ndimu changanya muache masaa 2 aingie viungo

Weka maji jikoni yakichemka weka chumvi kidogo na spagetti  zako zikiiva zimwage maji ya moto weka yabaridi ili zisishikane acha

Weka sufuria jikoni weka mafuta kiasi.anza kukasnga kitunguu kikiwa brown weka nyanya kisha weka kuku na garam masala na royco pia ongeza chumvi kiasi weka pilipilimtama kiasi changanya weka hoho na carot changanya weka maji kiduchu ichemkie ikichemka weka cheese cream endelea kuchanganya rosti halafu chuja maji tambi zako mimina kwenye tosti pika mpaka zichanganyike na kukaukia kiasi pakua enjoy mie nimeshushia na jiuce ya maganda ya nanasi tamu sana.

No comments:

Post a Comment