FRIED TANDOORI CHICKEN

FRIED CHICKEN / KUKU WA KUKAANGA :

Mahitaji :

Vipande vya kuku mzima 1
Kitunguu swaumu kiasi
Chumvi kiasi
Ndimu kiasi
Mtindi 1/2 kikombe
Pilipili ya unga kiasi
Rangi ya chakula nyekundu kiasi
Paprika powder kjk 1 cha chakula
Tandoori masala vjko 2 vya chakula
Mafuta kwajili ya kukaanga

Maelezo :

Safisha kuku na mkate vipande kisha mchanganye na mahitaji yaliosalia.
Roweka vipande vya kuku kwa muda wa siku nzima au nusu siku au masaa 3.

Kisha kaanga vipande vya kuku ukipenda unaweza kuoka kwenye oven.
Inapendeza kula na chip's au ndizi.

No comments:

Post a Comment