CHOCOLATE AVOCADO PUDDING / KITINDAMLO CHA CHOCOLATE NA PARACHICHI :
Mahitaji :
2 maparachichi
5 vjko vya kulia unga wa cocoa
Sukari au asali kiasi chako
1 kikombe maziwa fresh
Kjk cha chai vanilla
Maelekezo:
Mimina mahitaji yote katika blender saga vizuri. Mimina katika bakuli,pambia kwa matunda yeyote yale na tayari kuliwa.
Nzuri zaidi ukiweka katika fridge kua ya baridi.
No comments:
Post a Comment