juice ya maganda ya limao

JUICE YA MAGANDA YA LIMAO
MAHITAJI:

Maganda ya malimao
Sukari kiasi chako
Maji kiasi

Jinsi ya kuandaa:
Chukua maganda ya malimao na uweke ktk sufuria  na maji na sukari kisha chemsha kwa muda wa dk 10 mpk 15 baada ya hapo ipua na kuchuja juice ktk chombo. na weka ipoe au weka ktk fridge ipate baridi baada ya hapo itakuwa tayari kwa kunywa enjoyπŸ˜‹

No comments:

Post a Comment