APPLE COLESLAW SALAD/ SALAD YA APPLE :
Mahitaji :
Apple 1 nyekundu na apple 1 ya kijani zilizokatwa vipande vidogo
Cabbage robo iliokatwa ( nyambamba )
Carrot 1 iliyokunwa
Chumvi kiasi
Mayonnaise vjk 5 vya kulia
Maelezo :
Changanya mahitaji yote katika bakuli.. onja chumvi na weka pembeni au katika fridge. Nzuri kuliwa na chakula chochote.
No comments:
Post a Comment