MAANDAZI YA MAYAI

EGG MANDAZI / MANDAZI YA MAYAI :

Mahitaji :

Vikombe 3 vya chai unga
Tui la nazi kikombe 1
Sukari 1/2 kikombe
Siagi upawa 1 ( blue band ) yeyusha
Yai 1 ( vunja na piga kabisa katika bakuli )
Iliki ya unga kijiko 1 cha chai
Hamira kijiko 1 cha chai

Maelezo :

Roweka hamira.. ikishaumuka kanda unga wa maandazi kwa kuchanya mahitaji yote kama maandazi ya kawaida.
Uache unga uumuke.. ukishaumuka kata matonge manne na sukuma kata vipande.

Kisha kaanga kwa mafuta ya moto na maandazi tayari kuliwa na chai.


No comments:

Post a Comment